UPATIKANAJI WA MBEGU NA MICHE YA PAPAYA MALKIA F1 HYBRID


Hukua baada ya miezi sita nakuanza kutoa matunda.

BEI
Mbegu ni Tsh 30,000 na pakiti inabeba mbegu 60-70.
Kwa watu wa ukanda wa kaskazini wanashauriwa kupanda miche ambapo mche moja ni Tsh 5000 tu.
Kwa waliombali mbegu husafirishwa kwa njia ya  basi na nisalama.
MAWASILIANO.

Phone: +255752972727




Comments

Post a Comment